Ibrahim Maxmillan 2018-01-21 10:45:25 Education

Wadau naomba tujadili hili suala kwa umakini.. Nimepita kwenye baadhi ya sehemu na kuzungumza na baadhi ya wanafunzi wa shule za msingi, Kuna ajeda wanaisema kwamba upo mpango wa serikali (wanavyosema) kuwa elimu ya shule ya msingi kuhitimishwa darasa la SITA badala ya LA SABA kama ilivyozoeleka. kama hili lina ukweli , SWALI LANGU NI KWAMBA JE? HII ITASAIDIA KUINUA ELIMU YETU? I MEAN KUNA OPPORTUNITY ZIPI KWENYE HILI

  • User Avatar
    ISRAEL JOEL

    Kiukweli, jambo hili linahitaji maandalizi makubwa sana. Ili kama mwanafunzi atahitimu hiyo elimu ya msingi, awe kweli amehitimu elimu ya msingi vyakutosha, na awe ameandliwa vyema kujiunga na kidato cha kwanza. Yasipozingatiwa hayo basi watakuwa wanaf

    2018-04-13 10:25:30